• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

MKUU WA WILAYA AENDELEA OPARESHENI SIKILIZA NA TATUA KERO ZA WANANCHI KATA YA RULENGE WILAYANI NGARA-KAGERA

Wakati ilipowekwa: December 14th, 2023

Leo Tarehe 14/12/2023 Mhe Mkuu wa Wilaya ya Ngara Mhe Kanali Mathias J.kahabi  ameendelea na ziara ya Oparesheni Sikiliza na kutatua  Kero Kwa Wananchi.

Mkuu wa Wilaya alifuatana na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg. Solomon Kimilike, kamati ya Usalama Wilaya, Wakuu wa Idara na Vitengo Halmashauri,Wakuu wa NIDA,TARURA,RUWASA, TANESCO pia Uongozi wa kata ,Mtendaji kata, Afisa tarafa na  Diwani Mhe. Niyonzoma Fabian.

Mkurugenzi Mtendaji aliwakaribisha Idara Mbalimbali kutoa Maelezo  na iwapo Kuna kero iulizwe na kujibiwa akianza na Maji (RUWASA), Barabara TARURA, TASAF, AFYA, ELIMU, (BIASHARA,VIWANDA Na UWEKEZAJI), M/JAMII

Wananchi Waliuliza kero zao Mbalimbali hasa Kwa NIDA,Maji,Barabara, TASAF, Afya,Biashara,uwekezaji, Elimu Msingi na Sekondari.

Mhe Mkuu wa Wilaya alisisitiza Kwa wananchi wahakikishe wanawapeleka watoto shule Kwa Darasa la 1 na wanakwenda kuanza kidato Cha 1 .kwani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan Kwa kuwarahisishia wananchi  Eliimu bule bila malipo pia Ujenzi wa vyumba vizuri  vya madarasa.

Mhe Mkuu wa Wilaya alisisitiza suala la ulinzi na Usalama Rulenge ni Jukumu letu Sisi wote wananchi mmoja mmoja Kwa kushirikiana na Jeshi la polisi . Pia alikemea suala la wananchi kuwaleta  wahamiaji Haramu bila kufuata sheria ni kosa, aliendelea Kwa kusema suala la uharifu kuwa polisi wapo ila uwepo ushirikiano mkubwa wa wananchi na Jeshi la polisi. Ambapo ocs Rulenge  alisema mbele ya Mkuu wa Wilaya kuwa Sasa miaka 4 suala la uharifu limedhibitiwa  Kwa raia na Mali zao Kwa Rulenge.

Mhe Mkuu wa Wilaya aliwataka wananchi Kwa kuwa ni Kipindi Cha mvua kunyesha  kwenda kufanya kazi ya Kilimo ili kujipatia kipato Cha mmoja mmoja aidha aliwaonya wananchi wanaofanya Biashara ya Magendo waiache Biashara hiyo.

Wananchi wa Rulenge walimshukuru Mkuu wa Wilaya Kanali Mathias Kahabi Kwa kufanya Mkutano wa Hadhara ili kusikiliza na kutatua kero zao aendelee na utaratibu Ambao umewafurahisha wananchi wa Rulenge.

Naye Diwani kata ya Rulenge  alisema tayari ameanza kusikiliza kero katika mikutano Mbalimbali  ya wananchi ndani ya Kata ya Rulenge ,Aidha Alimpongeza sana Mkuu wa Wilaya pia Mkurugenzi Mtendaji pamoja wataalam Kwa ushirikiano mkubwa na kuwaletea Maendeleo kata ya Rulenge.

Mkuu wa Wilaya ya Ngara Mhe  Kanali Mathias Kahabi  akiwa na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg Solomon Kimilike, katibu Tawala wilaya Bi Hatujuani Lukali na Mhe Niyonzoma Fabian wakiwa katika Mkutano wa kusikiliza na kutatua kero Rulenge.


Wananchi wakiwa kwenye Mkutano wa Hadhara Oparesheni Sikiliza kero za wananchi Rulenge.


Viongozi wakiwa kwenye Mkutano wa hadhara.




Wananchi.






Mkuu wa Wilaya akiwasisitiza suala usafi wa Mazingira Rulenge.


Mkuu wa Wilaya ya Ngara akiwa katika picha ya pamoja na viongozi baada ya kumalizia zoezi la kusikiliza na kutatua kero Rulenge.




Diwani kata ya Rulenge Niyonzoma Fabian alkmshukuru Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan Kwa Fedha tsh Bilioni 2 .54 Kwa ajili ya miradi ya Maendeleo Mamlaka ya Mji Mdogo wa  Rulenge Wilayani Ngara.

ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • NGARA YAFANYA VIZURI MICHEZO YA SHULE ZA MSINGI UMITASHUMTA NGAZI YA MKOA

    May 30, 2025
  • MHE. COL MATHIAS KAHABI DC NGARA AKUTANA NA BALOZI WA RWANDA.

    May 29, 2025
  • NGARA YAENDELEA VIZURI NA MICHEZO YA SHULE ZA MSINGI UMITASHUMTA NGAZI YA MKOA.

    May 26, 2025
  • MADEREVA WAPATIWA MAFUNZO YA USALAMA BARABARANI ILI KUPUNGUZA AJALI - NGARA

    May 24, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa