• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

MKUU WA WILAYA AFANYA MKUTANO WA HADHARA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI KIJIJI CHA CHIVU,KIGINA KATA YA NTOBEYE WILAYANI NGARA.

Wakati ilipowekwa: November 20th, 2023

Mkuu wa wilaya ya Ngara Kanali Mathias Julius Kahabi katika KampeniI yake kabambe ya kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wananchi wa Wilaya ya Ngara .

Leo tarehe 20/11/2023 amefanya mkutano wa hadhara katika kijiji cha Chivu ,Kigina Kata ya Ntobeye.

Mkuu wa wilaya katika Ziara hiyo alifuatana na Mkurugenzi Mtendaji  Halmashauri ya Wilaya, Katibu Tawala Wilaya,kamati ya usalama Wilaya, Wakuu wa Idara na vitengo Halmashauri,Wakuu wa Taasisi za Tanesco,Ruwasa,Tra, Nida,Tarura na kiongozi wa Nelsap.

Lengo la mkutano huo wa hadhara Ikiwa ni kusikiliza na kutatua kero mbalimbali  ambazo wananchi (waguswa)wa kijiji cha Chivu ,Kigina akidai fidia kuhusu athari za ufuaji umeme wa Rusumo .

Mkutano huo uliongozwa na Mhe Mkuu wa wilaya Kwa kusikiliza kero na wataalam Kutoka Halmashauri, Taasisi  aliyeongozana nao kuzijibu  Kwa   kuzitatua kero zilizotolewa na wananchi.

Wananchi wamempongeza sana Mhe Mkuu wa wilaya Kwa kuamua kufanya mikutano ya hadhara Kwa kuwafuata wananchi kwenye Kata zao kusikiliza na kutatua kero walizonazo .Aidha wamesema Sasa wameondokana na adha ya kwenda kupeleka kero katika Ofisi za Serikali .walimuomba Mhe Mkuu wa wilaya  aendelee na utaratibu wa kuwafikia wananchi kuwasikiliza Kero zao .

Naye Diwani wa Kata ya Ntobeye Mhe Sunday Mukozi  Alimshukuru mkuu wa wilaya na timu yake  nzima Kwa kuanzisha Kampeni kabambe ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi.

Ziara ya Kutembelea Kata Kwa Kata inaendelea kesho tarehe 21/11/2023 Kwa Kata  ambazo Bado .

Kauli Mbiu "ukiwa na kero tutakukuta katani kwako tutakusikiliza na kukutatulia"

Wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara kijiji cha Chivu ,Kigina Kata ya Ntobeye Wilayani Ngara


Wataalam wa Halmashauri wakisikiliza Kwa makini kero zinazofolewa Ili kuzitolea ufumbuzi/utatuzi

ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa