• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

MKUU WA WILAYA AKATAA UJENZI NA UKARABATI UNAOFANYIKA KWA KUTOKUZINGATIA VIWANGO VYA UJENZI KWA WAATHIRIKA WA NYUMBA KUTOKANA NA MILIPUKO YA MRADI WA UMEME- KIJIJI CHA RUSUMO WILAYANI NGARA MKOA WA KAGERA.

Wakati ilipowekwa: December 7th, 2023

NGARA

Leo tarehe 7/12/2023 Mkuu wa wilaya ya Ngara  Mhe.Kanali Mathias Julius Kahabi akifuatana na Mkurugenzi Mtendaji ndg. Solomon Kimilike, OCS wa Rusumo, Mhandisi wa Ujenzi, Afisa Mipango, Afisa kutoka ofisi ya DSO, Mtendaji wa Kijiji cha Rusumo na  Mwenyekiti wa Kijiji Kwa  lengo la  kukagua kazi ya ujenzi na ukarabati wa nyumba za wananchi ambazo ziliharibiwa na milipuko ya baruti, wakati wa Ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme kwa kutumia maji kupitia Benki ya Dunia.

Mhe. Mkuu wa Wilaya akiwa na timu yake  walifanya ukaguzi wa kampuni mbili za wakandarasi  ambazo ni Azhar Construction Co.LTD na Kika Construction Co.ltd.

Mapungufu yaliyobainika ni nyumba kutojengwa kwa viwango vinavyotakiwa, mfano. Vipimo kutofuatwa ipasavyo, udongo wenye rutuba kutoondolewa na kuweka changalawe ambayo imechaguliwa, kuweka plastic sheet juu ya jamvi badala ya kutumia DPC ili kuzuia maji kupanda kwenye ukuta, kutofunga Joints wakati wa kujenga mawe ipasavyo hali ambayo itaruhusu nyufa kutokea kipindi kifupi kijacho ukizingatia ukanda wa mkoa wa Kagera unaathirika na tetemeko za mara kwa mara. 

Aidha waliona hata  kutofunga linta ya usawa wa Madirisha kuzuia nyufa kwa sababu tofali za blocks hazistahimili misukosuko ya mitetemo mbalimbali hivyo nyufa hutokea katika majengo.

Mhe. Mkuu wa wilaya ameelekeza timu ya wataalam kutoka ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya kuundwa kwa ajili ya ufuatiliaji wa kazi zote zinazoendelea na wakandarasi ili ziwe kwenye ubora unaotakiwa.

Mkuu wa Wilaya ya Ngara akikagua ujenzi usiokuwa wa viwango na kukataa ubabaishaji huo unaofanywa na wakandarasi.


Mkuu wa Wilaya ya Ngara Mhe Kanali Mathias J. Kahabi akiwa na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg Solomon Kimilike wakiwa wananyeshewa mvua kubwa iliyonyesha.lakini kazi ya Ukaguzi iliendeleaa.


Mkuu wa Wilaya Mhe Kanali Julius Kahabi akiwa na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg Solomon Kimilike pamoja na wataalam na viongozi Mbalimbali wakiwa wameloa mvua kubwa kuwanyeshea lakini kazi ilifanyika ya Ukaguzi.




Mkuu wa Wilaya ya Ngara Mhe Kanali Mathias Julius Kahabi aliendelea kukagua akiwa na Mkugenzi Mtendaji Wilaya Ndg.Solomon Kimilike pamoja na wataalam, viongozi mbalimbali alifuata nao Kijiji Cha Rusumo.


Iwe Mvua iwe Jua kazi iendeleee Mkuu wa Wilaya  Mhe.Kanali Mathias Julius  Kahabi akiwa na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg. Solomon Kimilike.

ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA AFANYA KIKAO NA WAFANYABIASHARA WA MAZAO WILAYA YA NGARA

    May 10, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA AFANYA KIKAO KAZI CHA KUWAFUNDA WATUMISHI MAKAO MAKUU -NGARA

    May 09, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI ROBO YA TATU 2024/2025 WAFANYIKA UKUMBI WA COMMUNITY CENTRE NGARA MJINI

    May 07, 2025
  • MKUU WA MKOA MHE HAJAT FATMA ABUBAKARI MWASSA AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDEKEO WILAYA YA NGARA

    May 03, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa