- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
7/08/2025
Kimefanyika kikao ambapo vilialikwa vyama vyote vilivyosajiliwa vilivyopo Halmashauri ya Wilaya na vyama viwili vilihudhulia vya CCM na NCCR -MAGEUZI
Mada mbalimbali ziliwasilishwa na kujadiliwa
1. Ratiba ya uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani 2025
2. Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani
3. Maelekezo kwa vyama vya Siasa na Mapitio
Fomu ya uteuzi
Fomu ya Maadili
Fomu ya Pingamizi
Fomu ya Rufaa
Fomu ya Mgombea kujitoa
Fomu ya Gharama za uchaguzi
4. Ratiba vya kampeni ya Chama cha siasa
Mwisho kikao kilifungwa na Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Ngara Ndg Constantino Msemwa
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa