- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
06/03/2025
Mvua ya upepo mkali iliyonyesha tarehe 5/3/2025 majira ya saa 11 Jioni Ambapo vyumba 2 vya madarasa na ofisi viliezuliwa.
Timu ya Mkurugenzi Mtendaji wilaya walifika kwa ajili ya kufanya tathmini ya uharibifu huo akiongozana na Mratibu wa maafa wilaya Ndg Remigius kawishe,Mhandisi wa ujenzi Eng Simon Mtuka , kaimu afisa elimu Mwl Shemaya Sospiter
Timu hiyo kwa kushirikiana na uongozi wa kata hiyo wametembelea vyumba vya madarasa 2 , ofisi pia vyoo vilivyoangukiwa na mabati yaliyoezuliwa.
Uongozi wa wilaya umemshukuru Mhe Mbunge kwa kufika kwake mapema kuwafariji baada ya tukio hilo na kukabidhi tsh 500,000.
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa