• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MALIASILI NA UTALII AFANYA ZIARA WILAYANI NGARA - KAGERA

Wakati ilipowekwa: February 29th, 2024

Ngara leo

Tarehe 29/02/2024, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii amefanya Ziara katika Wilaya ya Ngara kwa lengo la Kusikiliza na Kutatua KERO za Wafugaji hususani wa Kata ya Kasulo ambayo sehemu kubwa inapakana na Hifadhi ya Burigi - Chato.

Naibu Katibu Mkuu CP Benedict Wakulyamba katika Ziara yake alifuatana na Viongozi mbalimbali toka Makao Makuu ya TANAPA, Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Burigi - Chato, Mhe Col. Mathias Julius Kahabi DC Ngara, Ndg Solomon Kimilike Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Bi. Hatujuani Ally Lukari katibu Tawala Wilaya pamoja na Kamati ya Usalama ya Wilaya.

Naibu Katibu Mkuu CP Wakulyamba  amefanya Mkutano wa Hadhara uliohudhuliwa na Wafugaji na Viongozi wa Chama na Serikali wa Kata ya Kasulo akiwemo Diwani wa Kata hiyo Mhe. Yusuph Katura pamoja na Diwani Viti Maalum Mhe. Zawadi Cosma.

 Aidha, wafugaji walipata nafasi ya kuuliza maswali na KERO mbalimbali ambazo kwa ujumla zilijibiwa kwa ufasaha na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii.

Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye eneo la mkutano wa Hadhara Kata ya kasulo.


Naibu Katibu mkuu Wizara ya MALIASILI na UTALII  CP Benedict Wakulyamba akiongea na wananchi Wafugaji Kata ya Kasulo.


Wananchi Wafugaji waliojitokeza katika mkutano wa  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya MALIASILI na UTALII  kusikiliza na kutatua kero za Wafugaji Kata ya Kasulo.



Naibu Katibu Mkuu akiwa na Mhe Kanali Mathias J Kahabi , Ndg Solomon Kimilike Mkurugenzi Mtendaji Wilaya, Bi Hatujuani A Lukali na viongozi wengine katika mkutano wa hadhara (Wafugaji) Kata ya kasulo.

Kazi iendelee..........

ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa