• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

NAIBU WAZIRI WA HABARI, MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI AFANYA ZIARA WILAYANI NGARA - KAGERA

Wakati ilipowekwa: January 11th, 2024

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia Mhe Mhandisi Kundo Andrea Methew amekagua ujenzi wa kituo kipya cha Mkongo wa Taifa Cha Rusumo  chenye thamani ya Shilingi Bilioni 1,091,722,840.24. Mhe. Kundo amewaeleza wananchi wa Rusumo kuwa tatizo la mawasiliano katika mpaka huo wa Tanzania na Rwanda sasa limefika mwisho. Amesema 

"Serikali  ipo katika mchakato wa mwisho wa kupata fedha kwa ajili ya ujenzi wa minara mingine 636 na minara 15 itajengwa katika maeneo ya mipaka kwa ajili ya kuboresha usikivu wa Radio na minara 621 itajengwa kwa ajili ya kutoa huduma za mawasiliano ya simu Nchi nzima"

Pia Naibu Waziri Kundo akizungumza na wananchi wa Rusumo ameeleza kuwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amenunua magari 45 yenye thamani ya Shilingi Bilioni saba yatakayo saidia katika utekelezaji wa huduma za mkongo Nchini.

Ambapo Mkuu wa wilaya ya Ngara  Mhe. Col. Mathias Julius Kahabi ameipongeza serikali kwa kupatiwa billioni 38.5 kwa ajili ya maendeleo ikiwemo sekta ya Elimu, Afya, Maji, Miundombinu ya Barabara Umeme na Mradi wa uchimbaji wa Madini TEMBONIKEL Amesema hayo wakati akitoa taarifa ya maendeleo ya wilaya ya Ngara mbele ya ya Naibu waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari Mhe. Mhandisi Kundo Andrea Methew katika ziara yake Rusumo wilayani Ngara. 

Kwa upande wake Mhe Methew amemupongeza Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe George Ndaisaba Ruhoro kwa kazi nzuri ya kuhamasisha maendeleo hasa kwa kushirikiana na serikali pamoja na wananchi katika sekita ya mawasiliano na amewasa wananchi wa wilaya ya Ngara kutumia mitandao ya kijamii kwa manufaa yao hasa ya kiuchumi na kijamii na kuepukana matumizi yasiyo kuwa ya tija katika jamii.

Katika ziara hiyo , Mhe. Mbunge wa Ngara ameishukuru serikali ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Kwa jitihada za kuhakikisha mawasiliano katika wilaya ya Ngara yana imarika hususani kata ya Rusumo pia amempongeza DC, DED pamoja na kamati ya ulinzi na usalama wilayani Ngara kwa kutoa ushirikiano wa kusimamia miradi mbali mbali hadi kukamilika kwa miradi hiyo.

Naibu Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe Kundo A Mathew akisalimiana na viongozi mbalimbali Wilayani Ngara.


Wananchi katika mkutano wa hadhara wa Mhe Naibu Waziri.


Mhe Naibu wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari akiwa na Mhe Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe Ndaisaba G Ruhoro.


ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa