- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
29/10/2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Ndg.Solomon Kimilike ameshiriki Uchaguzi Mkuu 2025 wa Rais , Mbunge na Diwani kwa kupiga kura.
Aidha ameongea na wananchi na kuwahamasisha kufika kupiga kura ikiwa ni haki yao ya kikatiba kushiriki Uchaguzi Mkuu.
Amesisitiza wawe mabarozi kuwaambia ambao ni Ndugu, jamaa na Marafiki zao waliojiandikisha kufika kupiga kura za Rais, Mbunge na Diwani Ambapo vituo vimefunguliwa saa 1 kamili na vitafungwa saa 10 kamili .
Ngara kazi inaendelea
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa