- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
KATOKE MULEBA
26/05/2025
Michezo ya Shule za Msingi UMITASHUMTA Ngazi ya Mkoa wa Kagera yameanza katika viwanja vya michezo Katoke Chuo cha ualimu.
YAFUATAYO NI MATOKEO YA MICHEZO UMITASHUMTA NGAZI YA MKOA TAREHE 26/0//2025 kwa Halmashauri ya Ngara
NETIBOLI
NGARA 16 VS KYERWA 11✅
NGARA 12 VS BMULO 21
BASKETBALL
NGARA 8 VS MULEBA 4 WAV✅
NGARA 14 VS BUKOBA MC 0✅
HANDBALL
NGARA 8 VS KYERWA 3✅
VOLLEYBALL
NGARA 1 VS BIHARAMULO 2 WAV
NGARA 2 VS KYERWA 1 WAV ✅
NGARA 3 VS KYERWA O WAS ✅
FOOTBALL
NGARA 1 VS KYERWA 4
Riadha Mwanafunzi James Andrea ameingia fainali ✅
Alama ✅ ni ushindi
HIYO NI MICHEZO YA LEO MASHINDANO NGAZI YA MKOA.
Tumeshinda Michezo 8 tumepoteza michezo 3
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa