- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
Halmashauri ya Wilaya ya Ngara imeongoza kwa usafi katika Mkoa wa Kagera na kupata Hati safi kwa usafi wa mazingira na namna inavyopambana kuzuia Magonjwa ya Milipuko kwa kuweka mazingira safi na uhamasishaji wa wananchi kujikinga na magonjwa hayo pamoja na matumizi ya vyoo vya bora kwa wananchi.
Hati hiyo ilitolewa tarehe 28/2/2025 katika Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa Kagera kwenye Semina ya wadau wa Afya Mkoani Kagera ambapo Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera ndg Stephen Mashauri Ndaki alitoa zawadi hiyo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa Mhe Hajat Fatma Abubakar Mwassa.
Pichani ni Col Mathias Julius Kahabi na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara Ndg Solomon Kimilike waiani ea Hati hiyo toka kwa Katibu Tawala Mkoa Kagera Ndg Stephen Ndaki.
Col Mathias J Kahabi Dc Ngara , Ndg Solomon kimilike Ded Ngara wakipokea cheti kutoka kwa Ndg Stephen Mashauri Ndaki Katibu Tawala Mkoa wa Kagera
Ngara Kazi inaendelea.
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa