- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
25/03/2025
Dr Deograthias Mlandali Mganga Mkuu Wilaya amepokea tuzo ya utendaji Bora kitaifa kutokana na Zoezi la utafiti wa Maralia kwa kutumia njia ya Vinasaba .
Mradi huo wa utafiti ambao ulishirikisha Mikoa 10 ya Tanzania bara na ulikuwa wa kipindi cha miaka mitatu 3 kuanzia 2020-2023 Zahanati ya Chivu Wilaya Ngara Mkoa wa Kagera kuwa Mshindi wa kwanza kitaifa.
Tuzo imetolewa na Katibu Tawala Mkoa wa Kagera.
Ngara kazi inaendelea
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa