• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

NGARA YATOKA SALAMA KWENYE KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA ( LAAC)

Wakati ilipowekwa: January 19th, 2024

Leo tarehe 19/01/2024 viongozi Toka Ngara wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya. Ndg Solomon Kimilike na Mkiti wa Halmashauri ya Wilaya Mhe Wilbard Bambara wamekutana na kamati Bunge ya Kudumu ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) Jijini Dodoma.

Viongozi walihudhuria Kikao hicho ni Mhe Wilbard Bambara Mkiti wa Halmashauri ya Wilaya, Ndg Solomon Kimilike Mkurugenzi Mtendaji Wilaya, Ndg Constantine Msemwa Mkuu Idara ya Mipango, Bi Sabra Mwankenja Mkuu wa Idara utawala na rasilimali watu, Ndg Privanus Katinhila Mkuu wa Idara ya uwekezaji viwanda na Biashara, Wakili Maliki Mweneyuni Mwanasheria Halmashauri, Ndg.Telesphori Ngerangera mkuu wa kitengo Cha Ukaguzi wa ndani, na Ndg Abas Omary mkuu wa kitengo Cha Fedha .

Halmashauri ya Wilaya ya Ngara baada ya Kukutana na kamati hiyo wametoka salama  na vizuri.

Viongozi wa wilaya ya Ngara wakiwa wametoka kukutana na kamati ya Bunge ya kudumu ya   Hesaba za Serikali za Mitaa( LAAC) JIJINI DODOMA.


Viongozi Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Ngara wakusibiri kukutana na Kamati ya Bunge ya kudumu ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC ) Jijini Dodoma.




Picha ya pamoja viongozi wa Wilaya ya Ngara baada ya Kutoka kukutana na Kamati ya Bunge ya kudumu ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC)


Mkiti wa Halmashauri ya Wilaya Mhe Wilbard Bambara, Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg Solomon Kimilike, Mkuu wa Idara ya Mipango Ndg Constantine Msemwa, Mkuu wa Idara utawala na rasilimali watu Bi Sabra Mwankenja, Mkuu wa Idara ya uwekezaji viwanda na Biashara Ndg Privanus, Mwanasheria Maliki Mweneyuni mkuu wa kitengo Cha sheria, Mkuu wa kitengo Cha Ukaguzi wa Ndani  Ndg T. Ngerangera, Mkuu Kitengo Cha Fedha Ndg Abas Omary.

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa