• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

RAIS SAMIA AMEFANYA MENGI YA MAENDELEO TUMUUNGE MKONO - RC MWASSA.

Wakati ilipowekwa: February 1st, 2025

NGARA UPDATES

01/02/2025

Mkuu wa Mkoa Kagera Hajat Fatma Mwassa amesema kuwa Wananchi na Wakazi wa Mkoa Kagera hawana budi kumpongeza na kumuombea Sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kutokana na  shughuli nyingi za Maendeleo zilizofanyika katika Mkoa huo.

Akizungumza wakati wa sherehe za kumpongeza Mhe. Rais Dkt. Samia kwa kutimiza Miaka 65 ya kuzaliwa, zilizoandaliwa na Umoja wa Wanawake wa CCM Mkoa wa Kagera (UWT), Hajat Fatma Mwassa amesema mengi yanaonekana yaliyofanywa na Dkt. Samia yakiwemo yanayohusu Elimu, Afya, Barabara, Maji, Bandari, huku mengine yakiwa yamekamilika na mengine yakiwa katika hatua za kukamilika na mengine yakianzishwa.

"..kwa uchache mmeona Vituo vya Afya na Hospitali zimejengwa ni Kazi ya Mhe. Rais Dkt Samia, mmeona Shule nzuri na Watoto wetu wanasoma vizuri ni kazi ya Dkt Samia, Mmeona Bandari zetu za Bukoba na Kemondo kila moja zimeletwa Shilingi Bilioni 22   kazi inakamilika kufikia Mwezi Machi, Barabara Njia Nne zinajengwa ni Kazi ya Dkt. Samia, Maji, Barabara, Umeme mpaka Vitongojini ni mengine mengi ni kazi ya Mhe. Rais Samia.." amesema Hajat Mwassa.

Aidha ameongeza kuwa ni muda sasa wa Akina Mama hao wa CCM kuendelea kukiimarisha Chama Cha Mapinduzi kwa kumpambania Rais Dkt. Samia kuhakikisha anapata Ushindi wa kishindo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba Mwaka huu, kwa kumtafutia Kura hadi chini ya Uvungu, na kuzilinda kura hizo, ili kumpa nafasi ya Miaka Mitano mingine akamilishe Miradi mingine ya Maendeleo.

Sherehe hizo za kumpongeza Rais Dkt Samia zimefanyika Kata Kashai Bukoba Manispaa na Kuhudhuliwa na Viongozi pamoja na Wanawake wa UWT kutoka Wilaya zote za Mkoa Kagera.




 www.ngaradc,go,tz

 Kazi inaendelea

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa