• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

RC AFUNGUA KIKAO KAZI CHA MKOA WILAYANI -NGARA KAGERA.

Wakati ilipowekwa: January 2nd, 2024

Mkuu wa Mkoa  wa Kagera Mhe Fatma Abubakari Mwassa amefungua kikao kazi katika ukumbi wa St Francis wilayani Ngara.

Kikao hicho kitakacho fanyika Kwa siku mbili Ambapo  kimehudhuria na Katibu Tawala Mkoa Mhe  Dkt Toba Nguvila, Viongozi Toka RS,  Wah. Wakuu wa Wilaya, Mstahiki Meya Manspaa Bukoba, Wakurugenzi wa Halmashauri , na Manspaa, Maafisa Mipango, Waweka hazina,maafisa Lishe,Wakaguzi wa Ndani, Maafisa Elimu Msingi na Sekondari.

Mhe Mkuu wa Mkoa alianza Kwa kuwatakia heri ya mwaka mpya viongozi wote.

Mkuu wa Mkoa  Mhe. Hajjat Fatma Mwassa alisema lengo la kikao kazi ni kupanga mipango vizuri Ambapo alisema matokeo ya utendaji kazi huanza na Mipango mizuri.

Mhe Mkuu wa Mkoa aliendelea Kwa kusema si vizuri kupanga  kimazoea.

Mkuu wa Mkoa Mhe Fatma Mwassa alisema tumefanya kikao wilayani Ngara Kwa sababu waliofanya vizuri kitaifa  katika Miradi ili tuweze kwenda kujionea walivyofanya.

Waheshimiwa Wakuu wa Wilaya mbalimbali za mkoa wa kagera wakiwa kwenye kikao kazi


Wah. Wakuu wa Wilaya katika kikao hicho.


Mkuu wa Mkoa Mhe Hajatt Fatma Abubakari Mwassa aliyesimama  katika ufunguzi wa kikao kazi ,kulia ni Mstahiki Meya Toka Bukoba Manspaa anayefuata ni  Mhe Kanali Mathias J. Kahabi Mkuu wa Wilaya ya Ngara.


Katibu Tawala Mkoa wa kagera Mhe Dkt Toba Nguvila kabla ya kumkaribisha Mhe Mkuu wa Mkoa ili kufungua kikao kazi katika ukumbi wa St.Francis Ngara Mjini.


Viongozi Mbalimbali waliohudhuria kikao kazi kutoka Wilaya zote za Mkoa wa kagera.


Mkuu wa Mkoa wa kagera  Hajatt Fatma Mwassa aliyesimama pia aliye kulia kwake ni Katibu Tawala Mkoa Dkt Toba Nguvila na kushoto kwake Mkuu wa Wilaya ya Ngara Mhe Kanali Mathias J.Kahabi ( Mwenyeji).


Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Ngara Ndg Solomon Kimilike aliye katikati akiwa kwenye kikao kazi.


Viongozi Mbalimbali Toka Wilaya zote za Mkoa wa kagera wakiwa kwenye kikao kazi.


Viongozi Mbalimbali katika kikao kazi.



ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa