- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
05/08/2025
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe Fatma Abubakari Mwassa amefungua rasmi Maonesho ya Wakulima Nanenane Tarehe 05/08/2025 yaliyoanza Tarehe 01/08/2025 na yanayotarajiwa kuhitimishwa Tarehe 10/08/2025 katika Viwanja vya Kyakailabwa Manispaa ya Bukoba kimkoa.
Ngara ni moja ya Halmshauri ambayo imeshiriki maonoesho ya nanenane kimkoa wakiwemo viongozi mbalimbali pamoja na Mhe Col Mathias kahabi Mkuu Wa Wilaya ya Ngara.
Picha za matukio mbalimbali
Banda la Maonesho
Mhe Hajjat Fatma A. Mwassa Mkuu wa Mkoa Kagera wakati wa ufunguzi maonesho ya Wakulima Nanenane kimkoa katika kiwanja cha kyakailabwa Manspaa ya Bukoba
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa