- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA
20.04.2025
> Ndugu wananchi wote wa Wilaya ya Ngara Nawatakia nyote kheri ya Sikukuu ya Pasaka ambapo ndugu zetu Wakristo wanaadhimisha kumbukizi ya kufufuka kwa Yesu Kristo.
"Niwaombe tusherehekee kwa Amani, upendo umoja na Mshikamano, pia tujiepushe na mambo yote yanayoweza kuhatarisha amani na usalama wetu." Amesema Mhe Col. Kahabi
"Aidha kwa kutumia fursa hii ya Sikukuu ya Pasaka niwaombe ndugu wananchi tuendelee kumuunga Mkono Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuilinda TUNU yetu Adhwimu ya Amani tuliyonayo." Ameongeza Mhe. Col. Kahabi
Katika sikukuu hizi Disco toto ni Marufuku
Kwa mwananchi mwenye changamoto yoyote ya kiusalama atoe taarifa kwa Vyombo vya ulinzi na Usalama na itafanyiwa kazi haraka iwezekanavyo.
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa