- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mimi, Col. Mathias Julius Kahabi, DC Ngara,
ninaungana na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuwatakia Heri ya Mwaka Mpya Wananchi wote wa Wilaya ya Ngara.
Wilaya iko pamoja nanyi. Tunasikiliza sauti zenu, tunaelewa mahitaji yenu, na tunachukua hatua mahususi Kutatua kero zinazowakabili kwa kusimamia UTU na heshima.
Tuendelee kulinda amani, kuimarisha umoja, na kujenga kwa vitendo mustakabali wa matumaini ya Taifa letu.
Tunasikiliza
TunajengaMustakabaliMpyaWaMatumaini
TunasongaMbeleKwaUmoja
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa