- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mimi Solomon.O.kimilike Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Ngara naungana na Mhe Dkt.Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: Kuwatakia heri ya Mwaka Mpya Wananchi wa Wilaya ya Ngara.
Halmashauri ya Wilaya ya Ngara tupo nanyi ,Tunasikiliza Kero zenu,Sauti zenu,Mahitaji yenu na tunachukua hatua. Madhubuti za kutatua changamoto zinazowakabili kwa kuzingatia misingi ya utu na heshima.
Tuendelee kulinda amani, kuimarisha Umoja na kujenga kwa vitendo Mustakabali wa matumaini ya Taifa letu.
#Tunasikiliza
#Tunajenga Mustakabali Mpya wa Matumaini
#Tunasonga mbele kwa umoja
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa