- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
25/04/2025
Viongozi wandamizi wa Mradi wa Tembo Nickel wamefika ofisi ya DC Ngara kukutana na Mhe Col Mathias Julius Kahabi kwa ajili ya kutoa taarifa ya athari za mazingira za mradi wa Tembo Nickel katika vijijini saba vinavyoguswa na mradi huo.
Viongozi waliofika ofisini kwa DC kutoa maelezo ya maendeleo ya mradi wa Tembo Nickel ni wafuatao;-
Rose Mayembe - RSK, Patrick Msokya - CECL, Nuru Mtindo - CECL, Ernest Mukaranga - TNCL, Ramson Msemakweli - TNC, Tumsime Mpanju - CECL&SLR, Susan Wegner - CECL na Digna Isdory - TNCL.
Aidha, Mhe Col Mathias Kahabi DC Ngara amewapongeza na kuwashukuru Viongozi wa Tembo Nickel pamoja na Kampuni za RSK na CECL&SLR kwa kazi nzuri wanayoendelea ya kutoa elimu kwa jamii kuhusu athari zinazoweza kusababishwa na mradi huo ikiwemo athari za Kimazingira, Kiuchumi na Kijamii.
Ngara Kazi inaendelea.
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa