- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
24 MARCH, 2024
Timu kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa inafanya ziara ya kukagua Miradi ya Maendeleo Wilaya ya Ngara . Timu hiyo ikiongozwa na CPA Robert Lubimbi akiambatana na Eng Raphael Nyatega, Bwana Kepha Elias na Bwana Cyriacus Kabaka. Aidha, Maafisa kutoka Halmashauri ya Wilaya ni Bi. Jasmin Abasi Kaimu afisa Mipango, Eng Simon Mtuka Ndg Asifiwe Gwihangwe Mratibu LADP na Bwana Izengo
Miradi waliyokagua ni
Timu ya Mkoa walipokagua Mradi Ngara high School
Eng Mtuka akiwa na Ndg Kepha Elias Soko la kimkakati kahaza kata ya Rusumo
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa