• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

Utafiti Wabaini Ufaulu wa Chini wa Hisabati, Kiingereza na Kiswahili, Ngara

Wakati ilipowekwa: May 9th, 2018

Utafiti uliofanywa na Shirika la Marafiki wa Afrika Tanzania umebaini kwamba wanafunzi wa darasa la tatu katika shule za msingi za Halmashauri ya Wilaya ya Ngara wanaweza kufaulu masomo ya Kiingereza, hesabu na Kiswahili kwa wastani wa asilimia 31.

Hayo ameyabaini Mkurugenzi wa Shirika la Marafiki wa Afrika Tanzania Ndugu Isaiac Bambara wakati wa uzinduzi wa ripoti ya utafiti uliolenga kujua uwezo wa watoto wa darasa la III katika masomo hayo.

“Tulifanya utafiti huo nchi nzima mwaka mwaka 2015 kwa watoto wenye umri wa miaka 9-13, tukawashirikisha watoto112,455, ambapo Ngara tulikuwa na washiriki 21, 800 kutoka katika kaya 60 na kila kituo kilikuwa na watoto 30 walioshiki.” Alisema Ndugu Bambara.

Alisema utafiti huo umebaini kwamba asilimia 43 ya watoto wa darasa la II wanaweza kumudu hesabu za darasa hilo, wanaoweza kusoma hadithi ni asilimia 67 pekee, ambapo asilimia 53 wa darasa la saba ndio wanaweza kufanya vema hesabu za darasa la II.

Ndugu Bambara amethibitisha kwamba watoto wa darasa la saba wanaoweza kusoma vitabu vya hadithi za kiingereza vya dararsa la II ni asilimia 42 pekee.

Aidha, utafiit huo ulilenga pia kujua mahudhurio ya walimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, kadiri ya Ndugu Bambara wamebaini kwamba walimu wanahudhuria kazini kwa wastani wa asilimia 84, huku watoto wakihudhuria kwa wastani wa asilimia 52 tu.

Ndugu Baramba amesema kwamba lengo kubwa ni kushirikiana kuhakikisha watoto wanafaulu kwa kiwango kinachotakiwa, hivyo utafiti huo uwe chachu ya kuboresha miundombinu na mazingira rafiki ya kufundidhia.

Amebainisha kwamba Shirika la Marafiki wa Afrika Tanzania (MAT) limetumia Zaidi ya shilling milioni 19, ambapo Shirika la Twaweza Uwezo limechangia shilingi 1.3 zilizotumika kuandaa ripoti ya utafiti huo.

Akishukuru Shirika la MAT, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara Ndugu Gideon Mwesiga, amesema kwamba utafiti huo utawahamasisha walimu kufanya kazi kwa kujituma, juhudi na maarifa na hatimaye watoto watafanyavizuri katika masomo yao.

 Amesema shule nyingi za msingi katika Halmashauri yake zinakabiliwa na upungufu wa vitabu vya darasa la IV, na kwamba matumaini yapo kwani serikali imeanza kuvisambaza katika baadhi ya mikoa, kama ule wa Pwani.

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • NGARA YAFANYA VIZURI MICHEZO YA SHULE ZA MSINGI UMITASHUMTA NGAZI YA MKOA

    May 30, 2025
  • MHE. COL MATHIAS KAHABI DC NGARA AKUTANA NA BALOZI WA RWANDA.

    May 29, 2025
  • NGARA YAENDELEA VIZURI NA MICHEZO YA SHULE ZA MSINGI UMITASHUMTA NGAZI YA MKOA.

    May 26, 2025
  • MADEREVA WAPATIWA MAFUNZO YA USALAMA BARABARANI ILI KUPUNGUZA AJALI - NGARA

    May 24, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa