- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mamlaka ya Mapato TRA wilaya ya Ngara imezindua rasmi dawati la utoaji leseni za udereva katika wilaya, hatua ambayo inalenga kuboresha huduma za utoaji leseni kwa wakazi wa wilaya. Uzinduzi huu unalenga kurahisisha upatikanaji wa leseni na kupunguza gharama kwa wananchi ambao hapo awali walilazimika kusafiri umbali mrefu hadi ofisi za mkoa kwa huduma hiyo.
uzinduzi umefanywa na Viongozi mbalimbali Mkuu wa wilaya ya Ngara Mhe Col Mathias Kahabi mgeni rasmi aliyewakilishwa na Jawadu Yusuf, RTO mkoa wa Kagera Peter Mtali, DTO wilaya ya Ngara Noeli Kagoso, Mkaguzi wa Mkoa Gilbert Rutayuga, Mwenyekiti RSA Tanzania mkoa wa Kagera na Mwenyekiti Kamati ya Usalama Barabarani wilaya ya Ngara Bw Mohamed Makonda, Meneja TRA Ngara Omary Rajabu, Mkurugenzi wa Chuo cha REDESO Ngara, Viongozi wa Umoja wa Maafisa Usafirishaji wilaya Ngara kutoka vituo vya Bodaboda Ngara.
Ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa