• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

UZINDUZI WA JENGO LA MAABARA YA FAMASI, NA KOZI YA FAMASI MURGWANZA - NGARA

Wakati ilipowekwa: February 10th, 2024

Leo Mhashamu Baba Darlington Misago Bendankeha Askofu Dayosisi ya kagera amezingua Jengo la famasi na Kozi ya famasi liliojengwa  kutokana na makusanyo ya ada ya chuo murgwanza institute of Health and Allied sciences (MURIHAS ) Jengo hilo lenye zaidi ya  thamani ya Tsh Milioni 126,056,000/=

Baada ya kukata utepe na kuzindua jengo la maabara ya famasi Mhashamu Baba Askofu aliongoza Ibada Maalum.

Ibada Maalum ilipomalizika zilianza sherehe  za uzinduzi wa Kozi ya famasi, Jengo la maabara ya famasi na kuwakaribisha wanachuo wapya.

Ibada na sherehe hizo zilifanyika viwanja vya chuo cha (Murgwanza Institute of health and Allied sciences) Ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe Ndaisaba George Ruhoro aliyewakilishwa na Ndg Stivine Mabengas. Mratibu wa shughuli za Mbunge Ndg Mathias Mugatha, katibu wa Mbunge Ndg Benedicto , pia viongozi mbalimbali walishiriki ambao ni Mhashamu Baba Askofu ,Vical General Elis Ikambuza , wachungaji Anglican, Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Hakimu mkazi Wilaya Mhe kanavalo,Waheshimiwa Madiwani Ngara Mjini, Murukulazo, Ntobeye, Mfamasia Wilaya, Afisa ustawi Wilaya, Mgaga mkuu Wilaya,vingozi Toka Hospital Murgwanza Mganga mkuu, hospitali Murgwanza, katibu hospital Murgwanza,viongozi Toka Dayosisi ya kagera, wageni Toka UK, wakufunzi chuo,Mwalimu mkuu Napsi na wanahabari.

Aidha Mgeni Rasmi Mbunge wa Jimbo la Ngara alitoa Tsh M 1, mifuko 150 ya saruji, mifuko 2 ya Michele Kwa wanachuo, ambapo viongozi waliokuwepo katika hafla hiyo meneja NMB alitoa mifuko 10 ya saruji, meneja CRDB Alitoa TShs laki 4 zitakazowekwa akaunti ya chuo, Mhe Diwani mukiza Byamungu alitoa mifuko 10 ya saruji, Mkurugenzi Ngara famasi alitoa Tsh 240,000 za mifuko 10, Eng aliyefuatana na Mwakilishi Mbunge alitoa mifuko 10, pia kikundi Cha kwaya kilipewa na Mwakilishi Mbunge Tsh 200,000. Mhe Diwani Ngara Mjini aliahidi Tsh 100,000  Mwakilishi wa Mbunge pia atatoa bati  50, computer 2 na kinanda Kwa ajili ya chuo hicho.

Mhashamu Baba Askofu Darlington Misago Bendankeha alimshukuru sana Mbunge wa Jimbo la Ngara Kwa kukubali kuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo

 Pia Mhashamu Baba Askofu alimshukuru na kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Dkt Samia suruhu Hassan.

Aidha mkuu wa chuo  Ndg  Ilakiza Gashaza alisema kozi zilizopo ni :

1.Diploma in Nursing and Midwifery.

2.Diploma in pharmaceutical Sciences.

3.Diploma in  social work

Mkuu wa chuo cha Murgwanza Institute of Health and Allied sciences  akitoa maelezo mafupi ya jengo la maabara ya famasi.


Mhashamu Baba Askofu Darlington Misago Bendankeha Askofu Dayosisi ya kagera akiwa katika picha za pamoja na Mwakilishi wa Mbunge Jimbo la Ngara Ndaisaba G Ruhoro Ndg Stivin mabenga na viongozi Mbalimbali.



Viongozi mbalimbali katika hafla.


Wakitembelea jengo jipya la maabara ya famasi.






ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa