- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
21/03/2025
Timu ya Wawezeshaji toka Mkoani imefika ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya wilaya.
Lengo ni kukumbushana ujazaji PEPMIS, kama zipo changamoto ili kuelekeza namna sahihi ya kuondoa changamoto.
Mafunzo hayo yanafanyika ukumbi wa Baba Askofu Ngara mjini. kwa kushirikisha wakuu wa idara. Vitengo, walimu Wakuu, wakuu wa shule ,maafisa elimu kata, watendaji kata, wasimamizi vituo vya afya na zahanati.
Ngara Kazi Inaendelea
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa