- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mafunzo ya Viongozi Mbalimbali yameanza tarehe 18-22/09/2023 Katika Ukumbi wa ELCT Bukoba Manspaaa.
Mafunzo hayo yanashirikisha viongozi toka ofisi ya Mkuu wa Mkoa, wenyeviti na katibu chama Tawala ccm Mkoa na wilayani, waheshimiwa Wakuu wa wilaya, wenyeviti wa Halmashauri / Meya, Wakurugenzi, Makatibu Tawala na Wakuu wa Idara na Vitengo.
Mafunzo hayo yameandaliwa na Mkuu Wa Mkoa wa Kagera Mheshimiwa Hajjat Fatma Abubakari Mwasa kauli Mbiu Ikiwa NI WAKATI WA VITENDO,TIMIZA WAJIBU
Mada Mbalimbali zitafundishwa na wawezeshaji Mahili wa kitaifa
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa