• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

WAFANYAKAZI CHAPENI KAZI KWA KUJITUMA SERIKALI INAWEKA MAZINGIRA RAFIKI - RC FATMA MWASSA

Wakati ilipowekwa: May 1st, 2024

Wafanyakazi wa Watumishi wa Sekta mbalimbali Mkoani Kagera wametakiwa kuendelea kufanya kazi kwa Juhudi na Maarifa, Ili kuleta matokeo chanya kwa kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassani imeendelea kuwawekea mazingira wezeshi ya Utendaji Kazi.

Akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi Mkoani Kagera, Mgeni Rasmi katika Maadhimisho hayo Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa Kagera Mhe. Hajat Fatma Abubakari Mwassa,  amewakumbusha Wafanyakazi hao Juu ya Mshikamano wakati wa kukabili na kutatua changamoto katika maeneo yao ya Kazi.

Mhe. Mwassa amesema kuwa kila Mfanyakazi ana wajibu wa kufanya kazi kwa bidii umahiri na weledi kwa Kasi inayohitajika ili kupunguza malalamiko kwa Wateja, na kuongeza  Ufanisi.

Aidha ameongeza kuwa Serikali inaendeleza jitihada za kulipa haki na stahili za Wafanyakazi kwa Wakati.

Huku akikukumbusha waajiri kuendelea kuchangia mifuko ya Hifadhi ya Jamii ya Wafanyakazi  kwa uaminifu na Kuahidi kufuatilia Masuala haya kwenye ngazi husika kwenye Mkoa wake wa Kagera.

Katika hatua nyingine Mkuu wa Mkoa Kagera amemtaka Kamishna wa Kazi Mkoani Kagera kufuatilia na kuchukua hatua za haraka kwa waajiri wote Mkoani Kagera ambao wamekuwa na Tabia ya kutolipa mishahara kwa wakati, na wakati mwingine kulimbikiza mishahara ya Wafanyakazi jambo ambalo halikubaliki Kisheria.

Pia kuhusu suala la posho kwa Wastaafu,  Mkuu wa Mkoa Kagera mhe Hajat Fatma Mwassa amekiri kuwa Mtumishi anapostaafu anatakiwa kuendelea kuishi kwa heshima, kama Walivyotumikia na Kutoa jasho katika Ujenzi wa Taifa lao, hivyo Serikali imeendelea kuboresha masilahi ya Wafanyakazi kwa kuwapandisha Vyeo, na kwa kuwa posho hutegemea Mshahara wa Mwisho ambao Mtumishi amestaafu akiwa analipwa.

Maadhimisho hayo Kimkoa yamefanyika Manispaa ya Bukoba katika Uwanja wa Kaitaba na kuhudhuliwa na Viongozi mbalimbali wa Dini na Serikali ikiwemo Viongozi na Wafanyakazi wa Mashirika ya Umma, Taasisi Binafsi na Serikali.








ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa