• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

WAKUU WA IDARA NA VITENGO HALMASHAURI WATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA SEKONDARI YA MURUBANGA - WILAYANI NGARA

Wakati ilipowekwa: December 30th, 2023

Wakuu wa Idara na Vitengo Vya Halmashauri wakiongozwa na kaimu Mkurugenzi Ndg. Emmanuely Kulwa, pamoja na Diwani  Mhe Raurent John  wametembelea Mradi wa  Ujenzi wa Shule Mpya ya Murubanga Sekondari  iljyopo kata ya Nyamagoma Wilayani Ngara.

Ujenzji wa shule hiyo Umekamilika na umeghatimu tsh 584,280,028  (SEQUIP)

Viongozi hao wametembelea kuona maabara 3 za physics, Chemistry na Biology pia vyumba 8 vya Madarasa, Jengo la Utawala , Maktaba 1, chumba Cha  kompyuta 1, matundu ya vyoo 20, viti na meza za wanafunzi.

Mhe Diwani ameishukuru  Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanii Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan Kwa kuleta Fedha za kujenga shule Mpya na Mzuri yenye mvuto.Aidha aliendelea Kwa kusema shule hii itaondoa adha kubwa waliyokuwa wakiipata wanafunzi kutoka kata ya Nyamagoma kwenda shule ya Sekondari Murusagamba umbali wa takribani  kilometa 15.

Wakuu wa Idara na Vitengo wakiangalia maabara shule ya Sekondari Mpya  Murubanga kata ya Nyamagoma.


Viti na meza vikiwa tayari kwa ajili ya wanafunzi kidato Cha kwanza 2024.


Viongozi kaimu Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Emmanuely Kulwa, Ndg Stivin Mhina Afisa ugavi, mwl Enock Ntakisigaye Afisa elimu Sekondari na Mhe Diwani Raurent John  wakiangalia  viti na meza vikiwa Darasani.


Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Ndg Emmanuely Kulwa kulia , na katikati Ndg Constantine Msemwa Afisa Mipango Halmashauri wakiwa shule Mpya ya Sekondari Murubanga.


Vyumba vya Madarasa Shule ya Sekondari Mpya Murubanga kata ya Nyamagoma.


Shule ya Sekondari Mpya ya Murubanga kata ya Nyamagoma.


Vyumba vya Madarasa Shule ya Sekondari Murubanga.



Viongozi wakitembelea Maabara.




ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa