• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

Waleteni Watoto wa Kike Wapate Chanjo ya Saratani ya Mlango wa Kizazi

Wakati ilipowekwa: April 24th, 2018

Wazazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara wametakiwa kuwaleta watoto wa kike wenye umri wa miaka 14, ili waweze kupata chanjo ya kuwakinga na maambukizi ya saratani ya mlango wa kizazi, polio pamoja na suluha.

Akionge wakati wa uzinduzi wa chanjo hiyo katika hospitali ya Rulenge Aprili 23, 2018, Mkurugenzi Mtendaji Ndugu Aidan John Bahama, amesema kwamba chanjo hiyo ni muhimu na kuwataka wazazi kutowazaui watoto hao kupata chanjo hiyo.

“Niwaombe wazazi wa watoto ambao hawako shuleni, lakini wamefikia umri wa kupata chanjo hiyo wawalete wachanjwe, kwa sababu chanjo hii ni muhiumu ingawa umuhimu wake, hauonekani kwa sasa.” Alisema Ndugu Bahama.

Amewahakikishia wazazi wote kwamba chanjo hiyo haina madhara yoyote, kwani imezinduliwa na serikali, na kuongeza kwamba watu wanaweza kudhani chanjo hiyo si salama.

Aidha, Katibu Tawala wa Wilaya ya Ngara Ndugu Vedastus Tibaijuka, ameishukuru serikali kwa kwa juhudi inazozifanya katika kuimarisha afya ya wananchi wake.

Amesema vijana wengi wana afya nzuri; hawana mangonjwa kama ilivyokuwa zamani, kwani wengi wao wangekuwa walemavu wa viungo, lakini sasa hivi afya yao imeimarika.

“Sasa niwaombe wale wazazi wanaowaficha watoto wasipate chanjo waache tabia hiyo, na mara moja wawalete watoto wa kike wenye umri stahiki wapate chanjo hiyo.” Alisema ndugu Tibaijuka.

Wilaya ya Ngara imelenga kuchanja watoto wa kike wenye umri wa miaka 14, wapatao 7575 kutoka katika shule 145 za sekondari na za msingi.

Chanjo hiyo imezinduliwa Aprili 23, 2018 na Mkuu wa Wilaya ya Ngara Lt. Col. Michael Mntenjele na kuhudhuliwa na Katibu Tawala, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama wilayani, wafanyakazi wa idara za afya, pamoja na wanafunzi wa sekondari za Lake na Rulenge.

Matangazo

  • TANGAZO LA TATHMINI YA UJUZI NA UZOEFU KATIKA WILAYA YA NGARA KUTOKA TEMBO NICKEL August 30, 2022
  • MREJESHO WA MPANGO NA BAJETI YA HALMASHAURI KWA MWAKA WA FEDHA 2022/2023 KWA KAMATI YA FEDHA, UTAWALA NA MIPANGO TAREHE 12 AGOSTI, 2022 September 23, 2022
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2022 HALMASHAURI YA WILAYA YA NGARA December 04, 2022
  • RIPOTI YA ATHARI ZA KIMAZINGIRA NA KIJAMII MRADI WA MAEGESHO YA MAGARI BENAKO December 01, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • KATA YA NTOBEYE WILAYANI NGARA YAADHIMISHA SIKU YA UKIMWI DUNIANI KWA KUFANYA BONANZA LA MICHEZO.

    December 03, 2023
  • WILAYA YA NGARA YAPEWA TUZO MAALUM, CHETI CHA PONGEZI KWA USIMAMIZI WA UJENZI WA SHULE KUPITIA MRADI WA SEQUIP.

    December 02, 2023
  • MAAZIMISHO YA SIKU 16 ZA KAMPENI YA KUPINGA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO NGARA MJINI SHULE YA MSINGI WILAYANI NGARA MKOA KAGERA.

    December 02, 2023
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI YAFANYIKA KIWILAYA KATA YA NYAKISASA WILAYANI NGARA MKOA WA KAGERA

    December 02, 2023
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa