• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

WANAMICHEZO WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGARA WAKABIDHI CHETI NA KIKOMBE KWA MKURUGENZI MTENDAJI NGARA

Wakati ilipowekwa: November 3rd, 2022

Michezo ya watumishi Mamlaka ya serikali za mitaa ( SHIMISEMITA) Kitaifa  iliyofanyika Mkoani Morogoro kuanzia tarehe 18/10_31/10/2022.kwa kushirikisha Halmashauri za Wilaya, Manispaa na Majiji 57 kati ya 187. Wilaya ya Ngara alipeleka wanamichezo 18 na viongozi 3 . Ngara ilishiriki katika michezo ya Netiboli, Riadha, Bao,na karata. Wilaya ilifanya vizuri  katika michezo ya riadha na karata wanaume ambapo wilaya ilipata nafasi ya pili kitaifa katika  mchezo wa Jadi / Asili karata.

Kwa upande wa Riadha  mbio mita 100 Bwana Julius mkumbo   kushika nafasi ya tatu  kitaifa , na Bw Bahati Michael kushika nafasi ya 4 kitaifa  mita 100 pia Bi. sarafina alishika nafasi ya 3 kitaifa mbio mita 100.Alipongezwa Bw solomon Kimilike mkurugenzi mtendaji  kwa kuwa wilaya pekee katika mkoa wa kagera iliyoshiriki michezo  ya watumishi.

Wanamichezo hao wamekabidhi cheti na kikombe kwa  Bw solomon kimilike, aidha baada ya kupokea aliwashukuru sana wanamichezo  kwa kuheshimisha wilaya yetu kwa kurudi na kikombe  na kuahidi mwakani maandalizi yaanze mapema  ili kufanya vizuri .

Mratibu wa michezo Bw Said Salum alieleza kuwa mwakani ili kujiandaa ni kuanzisha Ded cup kwa kushindanisha idara kwa idara ili kupata wachezaji mahili wa michezo mbalimbali. Wanamichezo walimpongeza sana Mlezi wa timu ya Halmashauri sport club Bw Solomon kimilike Mkurugenzi mtendaji kwa kutoa usafiri ,posho  kwa wanamichezo ,pia kuwashukuru  Bi Sabra Mwankenja Afisa utumishi kwa hamasa kwa wanamichezo, kabla ya kuondoka kuelekea Morogoro.

Wanamichezo pia waliwapongeza  Bw. Msemwa Constantine  Afisa mipango wilaya  na Bw. Abbas Yusuf mweka hazina wilaya kwa kufika  kuhamashisha na kutoa maji tsh 100,000=  Mwisho walimshukuru Mhe Oliva Semuguruka  Mbunge viti maalum Mkoa wa kagera kwa kutoa Maji kwa wanamichezo Tsh 200,000=.


Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa