• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

Wananchi Ngara Kunufaika na Muwekezaji Toka Korea Kusini

Wakati ilipowekwa: September 5th, 2018

“Nia ni kufanya biashara na uwekezaji katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara; kuwanufaisha wananchi kwa kulipa kodi kadiri mkataba unavyoelekeza,  lakini pia tutasaidia katika sekta za maji, elimu, afya na barabara.” Alisema Mkurugenzi wa Mradi Ndugu William Mwingira.

Mkurugenzi wa Mradi Ndugu Mwingira alisema hayo Septemba 03, 2018 katika ukumbi wa Mkuu wa Wilaya, kwa niaba ya Kampuni ya FIIUP COMPANY LTD ya nchini Korea Kusini, kwamba awamu ya kwanza watawekeza katika kilimo cha kahawa na mpunga.

“Lakini siyo tu tutalima; tutanunua kahawa kutoka kwa wakulima, tutawapatia miche na elimu ya kuzalisha kahawa bora tukilenga kupata kahawa nyingi, kutoka kwa wananchi wanaotuzunguka; kwa hiyo tutainua kipato cha mwananchi mmoja mmoja.” Alisema Mkurugenzi huyo wa Mradi Ndugu Mwingira

Amesema kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, watawahamasisha wananchi wote wanaozunguka mradi kwa kuwasambazia miche bora ya kahawa; huku akathibitisha kwamba kwa awamu ya kwanza mradi utatoa ajira za kudumu kwa watu 2500.

Aidha, wawekezaji hao watalipa kodi ya Halmashauri kama sheria ya kodi inavyoainisha, watalipa ‘service levy’ kadiri watakavyozalisha kwa mwaka; huku akidai kwamba mazao watakayozalisha hayatauzwa nchini, bali yatauzwa katika masoko ya  nje ya nchi.

Ndugu Mwingira alisisitiza kwamba kwa sababu malengo yao ni soko la nje ya nchi wanataka kuwahamasisha wananchi wajihusisha katika kilimo cha kahawa na mazao mengine watakayoanzisha; huku akidai kwamba wamepata soko kubwa la avocados katika nchi za Ulaya Mashariki na Urusi.

Ameongeza kwamba wamepata soko la macadamia kwa hiyo wanataka kulianzisha wilayani Ngara; kwa hiyo wanatarajia kuomba eneo jingine la kuanzisha kilimo cha avocado na macadamia.

Aidha, kwa kuonyesha kwamba wana nia ya kufanyakazi pamoja na wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, tayari wamekwisha andaa konteina la kompyuta, ‘photocopier machines’, ‘printers’ na vifaa vingine vya elimu ili watoto waweze kupata elimu nzuri.

Wakati huo huo, Mkuu wa Wilaya ya Ngara Lt. Col. Michael Mntenjele amesema serikali iko tayari kutoa ushirikiano, kwa kuhakikisha kwamba wawekezaji hao hawakwami katika shughuli zao, kwani  lengo la wawekezaji ni kuwekeza fedha yao ili ilete matokeo chanya.

“Kwa hiyo tutatoa ushirikiano kwa kuhakikisha kwamba hawapati kikwazo chochote kwenye uwekezaji wao, na hatimaye malengo yao yaweze kufanikiwa.”  Mkuu wa Wilaya ya Ngara Lt. Col. Michael Mntenjele aliahidi

Kampuni ya FRIIUP COMPANY LTD ni kubwa sana nchini Korea ya Kusini, inafanyakazi ya kusindika mazao ya vyakula kwa ajili ya wateja wake, walioenea katika nchi za Ulaya Mashariki, Urusi na Mashariki ya mbali.

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa