- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Leo limefanyika zoezi la Usafi wa Mazingira wilayani Ngara.
Zoezi la Usafi wa Mazingira ambalo ni endelevu baada ya kuzinduliwa na Mkuu Wa Wilaya ya Ngara Mhe Col Mathias J Kahabi akiwa na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg Solomon Kimilike , kamati ya Usalama na Wakuu wa Idara na Vitengo Halmashauri ya Wilaya.
Zoezi hilo ambalo hufanyika kwenya ofisi za Serikali ,Taasisi Mbalimbali , Maeneo ya kuishi Nyumbani na maeneo ya Biashara na mitaani.
Wananchi ,watumishi wamejitokeza kufanya usafi katika maeneo yao
Mkuu wa Wilaya Mhe Col Mathias J Kahabi amesema zoezi hilo ni endelevu Kwa kata zote zilizopo Wilayani Ngara , ameagiza viongozi wote wa kata kuendelea kusimamia usafi wa Mazingira ikiwa ni zoezi endelevu.
Mji wa Ngara mjini Mjini ulivyo safi maeneo ya Janction baada ya kufanya usafi.
Baada ya zoezi la Usafi Leo siku ya Alhamis Barabani hakuna chupa, karatasi.
Zoezi la kufanya Usafi Ngara Mjini siku ya Alhamisi.
Baada ya zoezi la Usafi siku ya Alhamis.
Wananchi maeneo ya Nyamiaga wakikusanya uchafu eneo moja.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa