- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
20/03/2025
Wawekezaji kutoka Uganda wamefika ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya na kukutana na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri Ndg Josephat Sangatati pia Kaimu Mkuu wa Idara ya Biashara,viwanda na Uwekezaji Ndg Privanus katinhila.
Wawekezaji hao wakiwa na Ndg Devid Lyamboko kutoka RS kagara, Ndg Erastus Malai kutoka TIC Lake zone Mwanza, na wawekezaji Kutoka Uganda Ndg Naboth Kisiima na Akash Patel kutoka (Bugiri sugar Co Ltd) Nchini Uganda.
Wawekezaji hao wamefika kwa lengo la kuangalia eneo la uwekezaji kilimo cha Miwa na Kiwanda cha Sukari.
Aidha kaimu Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg Sangatati amewapokea na kuwakaribisha kuwekeza Wilayani Ngara Maeneo yapo Mazuri Ngara.
Baada ya kikao wawekezaji waliondoka kuelekea kuangalia Maeneo ndani ya Wilaya ya Ngara.
Ngara kazi inaendelea
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa