• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

WILAYA YA NGARA YAANZA KUCHUKUA TAHADHALI JUU YA UGONJWA WA EBOLA

Wakati ilipowekwa: June 21st, 2019

Mkuu wa Wilaya ya Ngara, Lt Kanali Michael M. Mntenjele akiwaasa wanakamakti wa Afya juu ya Uhamasishaji wa Elimu ya Ebola

Afisa Afya Wilaya ya Ngara,Ndugu Salum R. Kimbau

Wanakamati wa Afya wilaya ya Ngara waliohudhuria kikao kuhusu ugonjwa wa Ebola,Ngara


WILAYA YA NGARA YAANZA KUCHUKUA TAHADHALI JUU YA UGONJWA WA EBOLA

Kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa Ebola katika nchi za Uganda na Congo, wilaya ya Ngara imeanza kuchukua tahadhari kwa kutoa elimu kwa wananchi wa vijiji vinavyopakana na nchi za jirani, pia imejenga vituo na kusambaza vifaa vya kupimia wageni waingia nchini. Vituo hivyo vimejengwa katika Kata za  Rusumo, Kabanga na Murusagamba.

Akizungumza katika kikao kilichofanywa tarehe 21 Juni 2019 katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara kilichokuwa  na agenda kuu ya Ugonjwa wa Ebola, Afisa Afya Wilaya ya Ngara Ndugu  Salum R. Kimbau amesema wilaya imetenga kituo cha Afya cha Lukole maalum kama kambi ya kuhudumia wagonjwa watakaobainika kuwa na maambukizi ya Ebola.

 Mkuu wa Wilaya ya Ngara Luteni kanali Michael M. Mtenjele ambaye ndiye alikuwa Mwenyekiti wa kikao hicho aliwasisitiza wajumbe wa kamati ya Uhamasishaji kutoa elimu kwa wananchi hasa wa  vijiji vilivyo karibu na mipaka ya nchi jirani kutoruhusu au kupokea wageni kutoka nchi jirani wanaotumia mipaka isio rasmi kuingia nchini. Pia aliwaomba vyombo vya Usalama kusaidia kudhibiti wageni watakaoingia nchini bila kufuata taratibu za kisheria.

“Kujihami ni suala la ushirikiano , maana kutojali kwa raia mmoja kutasababisha madhara kwa jamii kubwa,hivyo wananchi waache mazoea ya kupokea wageni wan chi jirani waingiao kienyeji na waripoti mara moja pale waonapo mgeni aliyeingia kwa njia zisizo rasmi”,alimalizia Mkuu wa Wilaya ya Ngara.

Wahamasishaji katika kikao hicho wameombwa kushirikiana na taasisi za dini katika kutoa elimu juu ya ugonjwa huo na pia kuwaelimisha waumini wao juu ya tahadhali za kuchukua ili kuepuka ugonjwa huo kuingia nchini.

Mpaka sasa takwimu zinaonesha kuwa hakuna mtu aliyepatikana na ugonjwa huo katika nchi ya Tanzania na hivyo ni jukumu letu kuendelea kuelimishana sisi kwa sisi ili kwa pamoja tuweze kuepuka ugonjwa hatari wa Ebola.

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa