• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

WILAYA YA NGARA YAPEWA TUZO MAALUM, CHETI CHA PONGEZI KWA USIMAMIZI WA UJENZI WA SHULE KUPITIA MRADI WA SEQUIP.

Wakati ilipowekwa: December 2nd, 2023

Wilaya ya Ngara Mkoani kagera imekabidhiwa Tuzo na Cheti Cha pongezi Toka Ofisi ya Rais Tamisemi.

Tuzo Ngao Maalum na Cheti  Cha pongezi Kwa usimamizi Mzuri wa wa Mradi ya Ujenzi wa Shule ya Sekondari Chief Nsoro   2021/2022, iliyopo kata ya Bugarama wilayani Ngara Mkoa wa kagera.

Hafla hiyo katika kuazimisha Tamasha la Bibi Titi Muhamed lililoanza tarehe 29/11/2023 Hadi 3/12/2023 ilifanyika katika viwanja vya  Ikwilili wilayani Rufiji Mkoa wa Pwani.

Tuzo na Cheti kitaifa zilitolewa  Tarehe 1/12/2023 na Waziri wa Nchi  OR Tamisemi Mhe. Mohamed O. Mchengerwa.

Aidha zimetolewa Tuzo  vyeti, Ngao maalum Kwa Wilaya tatu 3 kitaifa ikiwemo Wilaya ya Ngara Mkoa wa kagera.

Wakikabidhiwa Tuzo cheti Ngao maalum ya  pongezi vikipokelewa na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg. Solomon Kimilike  na Mkuu Wa Shule Mursagamba Mwalimu  Ladslaus N. Pius  shule mama zilipopitia Fedha za ujenzi huo.

Cheti Cha pongezi kilichotokewa Kwa kufanya vizuri katika ujenzi wa Shule ya Sekondari Chief Nsoro iliyopo kata ya Bugarama Wilaya ya Ngara Mkoa wa Kagera.


Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Ngara Ndg.Solomon Kimilike wa kwanza kushoto akiwa na Tuzo cheti na Ngao maalum ya ushindi kitaifa katika usimamizi wa Mradi wa Ujenzi SEQUIP  Shule ya Sekondari Chief Nsoro Wilayani Ngara  Ikiwa ni Wilaya 3 kitaifa zilizofanya vizuri ikiwemo Ngara.


Eneo la  ugawji wa Tuzo  Ngao maalum na vyeti Kwa Wilaya tatu Kitaifa zilizofanya vizuri katika Viwanja vya Ikwilili Wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani.


Mhe.Mohamed Mchengerwa mbunge wa Rufiji na Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI akisalimiana na Viongozi wa Wizara na Mkoa wa Pwani wakati akiwasili Mohoro kwa ajili ya kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Daraja la Bibititi Mohamed - Mohoro pamoja na kuzungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara.




ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa