- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
14/08/2025
Limefanyika zoezi la Usafi Wilayani Ngara ambapo kila siku ya Alhamisi wananchi na viongozi mbalimbali hushiriki zoezi la usafi katika maeneo ya makazi, Biashara na kwenye ofisi Mbalibali za Serikali na Taasisi.
Mhe Col Mathias J kahabi Mkuu wa Wilaya amewapongeza Wananchi, viongozi wadau wa usafi kwa shughuli za usafi hii leo. Adha Mhe Col Kahabi amesema kazi iliyofanyika ni nzuri.
Ngara kazi inaendelea
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa