• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

ZOEZI LA USAFI WA MAZINGIRA NA UPANDAJI WA MITI 7,000 KATIKA WIKI YA MAADHIMISHO YA MIAKA 62 YA UHURU LAFANYIKA WILAYANI NGARA- KAGERA.

Wakati ilipowekwa: December 8th, 2023

Limefanyika zoezi la usafi wa Mazingira na upandaji wa miti katika Kata 22 zilizopo Wilayani Ngara.

Zoezi la usafi kabambe na upandaji wa miti limefanyika Mamlaka ya mji Mdogo Rulenge.Ambapo zoezi Hilo lililoongozwa na kaimu katibu Tawala Wilaya Ndg.Jawadu s.Yusuph aliyemwakilisha Mkuu wa wilaya ya Ngara Kanali Matias Julius Kahabi , Ndg.Said Salum aliyemwakilisha Mkurugenzi Mtendaji Wilaya,  Meneja TFS Ndg. Mussa Mlonga, Afisa Maendeleo ya Jamii, Afisa Mazingira, Afisa vijana,Afisa utumishi,Afisa utamaduni na michezo, wanafunzi na wananchi.

Zoezi la upandaji miti limefanyika shule ya sekondari Mubusoro  Rulenge, Ambapo miti 509 imepandwa  na miti 6,491 imepandwa Kata 22 Wilayani Ngara  Ikiwa ni wiki ya maadhisho ya miaka 62 ya uhuru wa Tanzania Bara kufikia 7,000.

Baada ya shughuli ya upandaji miti limefanyika zoezi la usafi kabambe Mamlaka ya mji Mdogo wa Rulenge  pia Kwa Kata zote 22.

Meneja wa TFS aliwataka kutunzwa Kwa miti hiyo iliyopanda Leo na kuahidi kufanya ufuatiliaji Kata Kwa Kata Ili kuona hali ya miti hiyo.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Wilaya alimshukuru Meneja wa TFS Kwa ushirikiano mkubwa anaoutoa katika Wilaya  ,Kwa Kutoa miti  kwa Kata na Taasisi pasipo malipo.

Nae Kaimu katibu Tawala Wilaya aliwashukuru TFS Kwa Kutoa miti 7,000 Aidha alizitaka Kata zote zilizopatiwa miti kuhakikisha inatunza vizuri na Kutoa taarifa ya hali ya miti inavyoendelea.


Zoezi la Upandaji Miti 500 limefanyika shule ya Sekondari Mubusoro Mamlaka ya Mji mdogo wa Rulenge.


Wanafunzi wakisikiliza maelekezo Toka Kwa Meneja TFS kabla ya kupanda miti.




Kaimu katibu Tawala Ndg Jawadu Yusuph akipanda Mti kumwakilisha Mhe Mkuu wa Wilaya Ngara.


Zoezi la Upandaji miti likiendelea shule ya Sekondari Mubusoro.


Wakielekea maeneo ya kupanda miti.




Zoezi la kufanya usafi Rulenge.

ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • NGARA YAFANYA VIZURI MICHEZO YA SHULE ZA MSINGI UMITASHUMTA NGAZI YA MKOA

    May 30, 2025
  • MHE. COL MATHIAS KAHABI DC NGARA AKUTANA NA BALOZI WA RWANDA.

    May 29, 2025
  • NGARA YAENDELEA VIZURI NA MICHEZO YA SHULE ZA MSINGI UMITASHUMTA NGAZI YA MKOA.

    May 26, 2025
  • MADEREVA WAPATIWA MAFUNZO YA USALAMA BARABARANI ILI KUPUNGUZA AJALI - NGARA

    May 24, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa