Wakati ilipowekwa: October 26th, 2023
Kamati ya fedha,utawala na Mipango imetembelea ujenzi wa jengo la makao makuu ya halamshauri ya Wilaya ya Ngara. Katika ziara hio,mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Wilbard Bambara amemtaka mkandarasi wa ...
Wakati ilipowekwa: October 25th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajat Fatma Mwassa amefanya ziara Wilayani Ngara kwakutembelea Miradi mbalimbali.
Miradi aliyotembelea Mhe Mkuu wa Mkoa ni Mradi Mkubwa wa Umeme Uliopo Rusu...
Wakati ilipowekwa: October 25th, 2023
Mkuu wa Mkoa Kagera Mhe Hajat Fatma Mwassa amefanya ziara wilayani Ngara .
Mhe Mkuu wa Mkoa alitembelea Mradi Mkubwa wa Umeme Uliopo Rusumo wilayani Ngara .
Mradi huo unashirikisha nchi tatu za ...