Wakati ilipowekwa: November 4th, 2023
Umefanyika Uzinduzi wa klabu za maadili shule za Msingi na Sekondari tarehe 03/11/2023.
Uzinduzi umehusisha shule za Msingi ambazo ni Ngara Mjini shule ya Msingi, Mubinyange shule ya Msingi &...
Wakati ilipowekwa: November 4th, 2023
Mkuu wa Wilaya Mhe. Mathias Julius Kahabi amefuatana na Wajumbe wa Kamati ya Usalama ya Wilaya , Mhandisi wa Ujenzi Captain Mzava walitembelea Kiteule cha JWTZ na kukagua Ujenzi wa Zahanat...
Wakati ilipowekwa: November 3rd, 2023
Mkuu wa Wilaya Mhe Kanali Mathias Julius Kahabi Ametembelea na kukagua utekelezaji wa Mradi wa maji Murusagamba wenye thamani ya Tsh Million 250,000,000/ uliojengwa Kwa Kipindi Cha mwezi mmoja na kuka...