Wakati ilipowekwa: October 31st, 2023
Michezo ya watumishi Serikali za Mitaa SHIMISEMITA KITAIFA ilifanyika Jijini Dodoma kuanzia Tarehe 18/10 -30/10/2023
Katibu wa Shimisemita TAIFA akitoa taarifa alisema Halmashauri za Wilaya Z...
Wakati ilipowekwa: October 30th, 2023
Ujenzi wa shule mpya ya Kata Nyamagoma Wilayani Ngara unaendelea .
Afisa elimu Sekondari Mwl Enock Ntakisigaye alisema shule hiyo ni ufadhili (SEQUIP).
Afisa elimu alieleza shule inataraji...
Wakati ilipowekwa: October 29th, 2023
Zahanati ya mji mdogo wa Rulenge imeanza kutoa huduma Kwa wananchi ,
Akieleza Mganga Mkuu Wilaya Dr Deogratias Mlandali kuwa Huduma inayotolewa Kwa wananchi ni Huduma ya wagonjwa wa nje na kl...