Wakati ilipowekwa: October 13th, 2023
Mafunzo hayo yametolewa Leo katika ukumbi wa St. Severine Uliopo Ngara Mjini.
watumishi wa kada Mbalimbali walihudhuria mafunzo .
Lengo la mafunzo hayo ni watumishi ajira Mpya kujua ...
Wakati ilipowekwa: October 13th, 2023
Liimefanyika zoezi la Utiaji saini Mkataba wa UCHIMBAJI VISIMA Kati ya NGUWASA na Mkandarasi .Kwa ajili ya uchimbaji VISIMA 2 kwenye Mji wa Ngara ili kupunguza shida ya upatikanaji wa Maji...
Wakati ilipowekwa: October 13th, 2023
Mchezo umefanyika Ngara Mjini . Lengo ni maandalizi ya timu ya Watumishi kushiriki Mashindano ya Serikali za Mitaa SHIMISEMITA 2023.Pia timu ya UMISSETA Kujiandaa na mashindano ya shule za...