Wakati ilipowekwa: May 18th, 2023
Ngara oil wafadhili timu za wilaya UMITASHUMTA na UMISSETA kwa kutoa Mchele kilo 50 ,Juice katoni 20 na katoni za Biscuti .Aidha kaimu Afisa Elimu amewashukuru sana Bw Ally na Yunah kwa uf...
Wakati ilipowekwa: May 14th, 2023
Kamati ndogo ya ukaguzi wa njia na Miradi ya Mwenge imetembelea miradi 6 na shughuli 3 zitakazopitiwa na Mwenge wa uhuru
Miradi hiyo ni uzinduzi wa Vyumba vya Madarasa Rulenge shule ya ...
Wakati ilipowekwa: May 16th, 2023
Maafisa elimu Sekondari Wametembelea Shule ya Sekondari KIBIMBA wa lengo la kuona ufundishaji Darasani hasa kidato Cha kwanza .
Aidha baada ya ukaguzi huo Afisa Elimu Sekondari alifanya Kikao ...