Wakati ilipowekwa: September 29th, 2022
Mradi wa ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa na ofisi ya walimu umetekelezwa na ofisi ya mkurugenzi halmashauri ya wilaya ya ngara jamii pamoja na Shirika La Jambo For Development
Ambapo ...
Wakati ilipowekwa: September 26th, 2022
Halmashauri ya Wilaya ya Ngara imefanikiwa kujenga kituo kipya cha Afya cha Rusumo kinachopatikana kata ya Rusumo. Kituo hicho kinaenda kuongeza idadi ya vituo vya Afya wilaya ya Ngara na kuwa jumla y...
Wakati ilipowekwa: September 23rd, 2022
Halmashauri ya Ngara yang'ara katika michezo ya UMITASHUMITA ambapo imeshika nafasi ya pili (02) KWA MICHEZO KIUJUMLA....