Wakati ilipowekwa: June 6th, 2018
Wataalamu na wadau wote wa mazingira katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, wametakiwa kuendelea kutoa elimu ya mazignira, ili kuepeusha madhara yananyoweza kutokea kutokana na kukata miti ovyo, kucho...
Wakati ilipowekwa: June 4th, 2018
Walimu wote katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, wamekumbushwa kufanyakazi kwa bidii, weledi na uadilifu katika kutimiza jukumu la kuwafundisha na kuwalea watoto waliokabidhiwa.
Akisoma risala wa...
Wakati ilipowekwa: May 31st, 2018
Baadhi ya Wazazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, wametakiwa kuacha tabia ya kuwashawishi watoto kwa makusudi kufanya vibaya mithani yao ya kuhitimu masomo, wakati watoto hao wanauwezo wa kufany...