Wakati ilipowekwa: May 2nd, 2018
“Wazazi na walezi wa watoto katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara wanachangia kuongezeka kwa wavivu na wazembe kutokana na malezi yao mabaya.” Alisema Paroko wa parokia ya Ngara Mjini Padre Sixmund Ny...
Wakati ilipowekwa: April 27th, 2018
Wananchi katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara wameshauriwa kutumia mifumo ya kibeki iliyoenea nchini, ili waweze kuepuka matatizo mbalimbali yakiwemo ya fedha bandia na kuvamiwa.
Hayo yamesemwa na...
Wakati ilipowekwa: April 24th, 2018
Wazazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara wametakiwa kuwaleta watoto wa kike wenye umri wa miaka 14, ili waweze kupata chanjo ya kuwakinga na maambukizi ya saratani ya mlango wa kizazi, polio pamoj...