Wakati ilipowekwa: June 25th, 2018
Serikali imeipatia Halmashauri ya wilaya ya Ngara, jumla ya vitabu 4,916 kati ya 9,832 vya mitaala mipya vinavyotarajiwa kuletwa, kwa ajili ya kujifunza na kufundisha watoto wa darasa la nne.
Mkuu ...
Wakati ilipowekwa: June 20th, 2018
Wakuasanyaji wa mapato katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, wamehimizwa kuacha tabia ya kukusanya fedha ya serikali kwa kutumia vitabu, badala yake waikusanye kwa kutmia kifaa cha kukusanyia mapato ...
Wakati ilipowekwa: June 20th, 2018
Halmashauri ya Wilaya ya Ngara imepokea shilingi milioni 230 toka serikali kuu, kwa ajili ya kujenga madarasa manne na mabweni mawili katika shule ya sekondari ya Kabanga.
Mkurugenzi Mendaji wa Hal...