Wakati ilipowekwa: February 13th, 2018
Kaimu Afisa Mipango wa wilaya Ndg Ghalib Idd Mkumbwa ameziasa kamati za Ujenzi, Manunuzi na Mapokezi kushirikiana wakati wa kutekeleza majukumu yao.
Aliyasema hayo tarehe 9 Februari 2018 Katika kit...
Wakati ilipowekwa: November 27th, 2017
Mkuu wa wilaya ya Ngara Mhe. Lt.Col. Michael Mangwela Mntenjele amezindua rasmi zoezi la kupiga chapa mifugo hasa ng’ombe walioko ndani ya wilaya ya Ngara. zoezi hilo kiwilaya limefanyika katika kijij...
Wakati ilipowekwa: November 17th, 2017
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Ndg Aidan John bahama ametoa taarifa ya mlipuko wa bomu uliotokea kwenye shule ya msingi Kihinga Tarehe 08 Novemba 2017. Aidha amewashukuru wote waliojitoa...