Wakati ilipowekwa: March 7th, 2024
Maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani kiwilaya yatafanyika tarehe 8/3/2024 Mamlaka ya mji Mdogo wa Rulenge Tarafa ya Rulenge Wilayani Ngara.
Mgeni rasmi katika maadhimisho ni Mkuu wa w...
Wakati ilipowekwa: March 5th, 2024
Pumzika kwa amani Mhe. Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya pili.
ngaradc.go.tz...
Wakati ilipowekwa: March 4th, 2024
Watumishi wa Umma Mkoani Kagera wametakiwa kuyatumia Vyema Mabaraza ya Wafanyakazi ili kuweza kuimarisha mahusiano kazini ikiwa ni chachu ya kutekeleza vyema majukumu na wajibu wao wa kila siku.
Ak...