Wakati ilipowekwa: March 11th, 2024
Imefanyika hafla ya ugawaji mipira kwa Halmashauri 8 za Mkoa wa kagera, hafla hiyo imefanyika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa kagera.
Hafla hiyo imehudhuriwa na Viongozi wa chama Cha mpira wa miguu Mk...
Wakati ilipowekwa: March 8th, 2024
Katika maadhimisho ya siku ya wanawake kiwilaya wametembelea kituo Cha watoto yatima na Kutoa zawadi Mbalimbali katoni za sabuni, juice, majina, mifuko ya unga, Michele na mafuta ya kupiki...