Wakati ilipowekwa: February 18th, 2024
Leo tarehe 17/02/2024, Mhe Col Mathias Julius Kahabi amefanya ukaguzi wa miradi mikubwa ya Soko la Kimkakati Rusumo, Ngara High school na Jengo la Halmashauri HQ inayosimamiwa na Wataalam wa LADP.
...
Wakati ilipowekwa: February 17th, 2024
Leo imefanyika Jogging na Mazoezi ya pamoja Ngara Mjini.
Jogging na mazoezi ya pamoja Aerobic ilishirikisha watumishi ,wanafunzi Toka Mchungaji mwema sec na wananchi Mbalimbali &n...
Wakati ilipowekwa: February 15th, 2024
limefanyika Tamasha la Michezo na Sanaa Sambamba na zoezi la Uchangiaji Damu salama.
Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Ngara Col. Mathias J. Kahabi aliyewakilishwa na Ndg. Mugisha Ruba...