Wakati ilipowekwa: February 25th, 2024
Yameanza mashindano ya kusaka Kwa kushirikisha Wasanii Mbalimbali waliopo wilayani Ngara.
Mashindano hayo yamefanyika katika ukumbi wa Malaika beachi Uliopo Mamlaka ya Mji Mdogo wa Rulenge.
...
Wakati ilipowekwa: February 24th, 2024
Mashindano yamefanyika katika ukumbi wa Malaika Beach Rulenge Ngara Kwa kushirikisha Wasanii 23 kutoka katika kata Mbalimbali za Wilaya ya Ngara na Washiriki 2 kutoka Halmashauri ya Bihara...
Wakati ilipowekwa: February 24th, 2024
Leo limefanyika zoezi la Ukaguzi , uhamasishaji wa Ukusanyaji Mapato ya Halmashauri. Ambapo zoezi hilo limefanyika Tarafa ya Rulenge.
Zoezi hilo limeongozwa na Mkuu Wa Idara ya Utawala,utumishi na ...